Hope you are well.
Ever learning: Never take your life for granted.
"Ila usisahau, si kwa nguvu zako,
Sema, 'Asante, kweli wewe ni Mungu.'
Sema, 'Asante, kweli wewe ni Mungu.'
Hata ukikosa, ukikosa, ukikosa,
Sema, 'asante, kweli wewe ni Mungu'
Sema, 'asante, kweli wewe ni Mungu'
Hata ukipata, ukipata, ukipata,
Sema, 'asante, kweli wewe ni Mungu' "
Sema, 'asante, kweli wewe ni Mungu' "
No comments:
Post a Comment